Nafasi za Mafunzo ya Ualimu Ngazi ya Cheti na Stashahada kwa mwaka wa masomo 2017/2018

MERCENARY2015

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
350
250
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza nafasi za Mafunzo ya Ualimu Ngazi ya Cheti na Stashahada kwa mwaka wa masomo 2017/2018.

Masomo yanatarajiwa kuanza mwezi Septemba, 2017. Waombaji wa Mafunzo ya Ualimu watakaopenda kuajiriwa na serikali wanapaswa wawe na umri usiozidi miaka 35 wakati wa kumaliza Mafunzo yao.

National Council for Technical Education (NACTE)

Kwa maelezo zaidi tembelea link hapo juu.
Wahitimu wa Kidato cha sita pia wana fursa ya kuomba kujiunga na Mafunzo ya Stashahada ya Ualimu 2017/2018.

Waombaji wote wanaombwa kuapply kupitia tovuti ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom