upolisi hapana mkuu,vp polisi hutaki kama upo tayar wametoa ajira
source mtanzania la leo
Mkuu ina maana hua wanajitangazia wao huko huko kwenye Jeshi ili warithishe kwenye familia zao?
think positive. avoid these negativity of yours bwana mdogo
Amini nachokwambia utaratibu huo umefutwa,afsa kadeti wote wana wa rekruit ktka ndani ya jeshi,na si mtaani,
kwa vyovyote vile kk, mikoa mingi ina kambi za kijeshi, kw kuwa ni haki ya kila raia kupata taarifa kadri zilivyo na umuhim, ni vyema ukaenda kambini kabisa ukawauliza ili upate uhakika zaid kuliko Kuwategemea wana jamiiforum ambao endapo ikitokea wasipokupa taarifa huwez kuwalaum.''
plz wana wa mkeka huu kwa yeyote mwenye taarifa kuhsu lini hawa jamaa wanatoa hizi post zo naomba anijuze kwani hiz ni siku za mwisho mwisho so usipo uliza yawezekana nafasi zikaoka kmya kmya uf mtu unakuja skia kuwa wiki moja iliyopita wenzio walifanyiwa usaili na wa washapewa na namba tayari kuelekea iringa arusha au dodoma so tafazali kma una taarifa kuwa ni lini hizi nafasi zinztokan basi asste kunijuza wanajamii wenzangu kwa wale wenye kupenda joks hii sio sehemu yake plz wadau tupeane taarifa.
kwa vyovyote vile kk, mikoa mingi ina kambi za kijeshi, kw kuwa ni haki ya kila raia kupata taarifa kadri zilivyo na umuhim, ni vyema ukaenda kambini kabisa ukawauliza ili upate uhakika zaid kuliko Kuwategemea wana jamiiforum ambao endapo ikitokea wasipokupa taarifa huwez kuwalaum.''
we mponze mwenzako aende wakamng'oe kucha na meno bila ganzi....
sasa sisi ambao tulimaliza shule na jkt ilikuwa haijaanzishwa inakuaje jamani? Maana mi mwenyewe na tamani gwanda la kijani na kijivu nimemaliza shahada na kwa sasa nina miaka 26
Habari za jioni wanajamii forums! nimefatlia maelezo yenu hapo juu wengine wanakatisha tamaa!!!!!! na wengine wanatia moyo,, ila kiukweli tunazihitaji sana!!!!!! tafadhaali naomba tuzidi kujuzana pindi zitakapotangazwa
mmesikia lakini m23 walichomfanya meja