Nafasi za kujiunga na JWTZ

Nafasi za kujiunga na JWTZ

mupanga

Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
72
Reaction score
29
jamani wana jf mm nkija mtanzania miaka25, napenda kujiunga na jwtz hvyo mwenye kujua ln nafac ztatoka antarifu pia nitashukur pia kama kuna mtu ambaye anaweza akanisaidia npate nafasi ya kujiunga. Elimu yngu ni shahada ya elimu. Please naomb msada wenu
 
Mkuu nimesikia kuna nafasi zitatoka hivi karibuni mwezi october kwaajili ya form6 unaweza ukaomba pia, japo zile kwaajili ya ngazi ya shahada ni mpaka January. Kwanini nakushauri uombe hizo zikitoka? Kuzingatia kigezo cha umri, mwisho ni miaka 25 kujiunga na jeshi la wananchi na kwakua tayari umefikisha umri huo mkuu, ukisema usubiri hadi mwakani umri utakua umevuka kiwango hiko. Hivyo ni vyema basi nafasi zitakapotangazwa kwa waliomaliza form 6 hapo october nawe uombe, kwani pia una kigezo cha shahada ambapo ni added advantage.
 
asante mkuu ntafanya hvyo. Bac kwatarifa zaidi zktoka naomba unipetarifa
 
Ingekuwa vinzuri kama ungeulizia safasi za jkt. kwani ni lazima upitie jkt ndio ufike jwtz.
 
je katika hizi ajira kwa sisi watoto wa maskini katika hii interview yao urasimu hautakuwepo?
 
tatizo wengi wetu tz hutupo tayari kuupokea ukweli kwakudhan labda tutakuwa tumedhalauliwa, haya kaka samahan kama nimekuudhi kwa hayo hapo juu maelezo
 
jamani hizi ni siku za mwisho mwisho majeshi yote karibia yanatoa nafasi zake so tafazali waungwana kwa kila mwenye taaifa kamili kuhusiana na lini nafasi hzi zinztoka ninaomba tupeane taarifa ndugu zangu kwa sabsabu tun atofautianabkatika uwezo wa kupata taarifa kwa wakati naomba wale wenye moyo kusaidia wenzao basi tusaidiane katka hili
 
plz wana wa mkeka huu kwa yeyote mwenye taarifa kuhsu lini hawa jamaa wanatoa hizi post zo naomba anijuze kwani hiz ni siku za mwisho mwisho so usipo uliza yawezekana nafasi zikaoka kmya kmya uf mtu unakuja skia kuwa wiki moja iliyopita wenzio walifanyiwa usaili na wa washapewa na namba tayari kuelekea iringa arusha au dodoma so tafazali kma una taarifa kuwa ni lini hizi nafasi zinztokan basi asste kunijuza wanajamii wenzangu kwa wale wenye kupenda joks hii sio sehemu yake plz wadau tupeane taarifa.
 
Ingekuwa vinzuri kama ungeulizia safasi za jkt. kwani ni lazima upitie jkt ndio ufike jwtz.

Ni vizuri aulize ya JKT. Pia kama unafahamu kikomo cha umri, mfano yeye ni 25 yrs, akipita JKT je ataweza kupata nafasi ya JWTZ?
 
Jamani naona mnaongelea form 6 na shahada, je wenye stashahada (diploma) wao ni lini
 
Back
Top Bottom