Nafasi za kufundisha tuisheni DSM

Nafasi za kufundisha tuisheni DSM

Capitrait

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
226
Reaction score
328
Hii nimepenyezewa na mwanangu mmoja.

Km upo mwake wasiliana nao. Ma ticha wa Phy, Chem, Bios, Maths, Geo, Hist na Engl O Level jioni.

Kituo ni kipya ndo kinaanza, usije kumbwela mipango yako mikubwa eti kazi umepata.

Naweka email hapa, namba yake kakataa nisiweke humu. Nadhani anaogopa wadada watamtongoza maana siku hz JF sio yaan.

Subirini email kwa wale walio serious.
 
Hii nimepenyezewa na mwanangu mmoja.

Km upo mwake wasiliana nao. Ma ticha wa Phy, Chem, Bios, Maths, Geo, Hist na Engl O Level jioni.

Kituo ni kipya ndo kinaanza, usije kumbwela mipango yako mikubwa eti kazi umepata.

Naweka email hapa, namba yake kakataa nisiweke humu. Nadhani anaogopa wadada watamtongoza maana siku hz JF sio yaan.

Subirini email kwa wale walio serious. radarsatelite@gmail.com
umevuta bangi au umekunywa balimi? eti embu andika cha kueleweka sasa
 
unawaza madada wa jf kumtongoza mtu mwenye katution centre khaaaaa acha kuwazalilisha wewe washindwe kuwatongoza watu wenye mihela yao
 
We tu ndo thred hii imekuhus. Kumbavu sana
 
Back
Top Bottom