Nafasi za kazi

Nafasi za kazi

watu wa business vipi?? unawachukua kuna dogo lipo iddle

Business kwa sasa wapo! Ukiona matangazo yetu popote mf. www.zoomtanzania.com unaweza jaza kama unavigezo husika!!
 
watu wa kilimo na mifugo unawachukua mkuu.imranmwombeki.yahoo.com
 
Vijana naomba muelewe taarifa zote ziko ktk tangazo letu! anza sasa kutuma app zako. OBSERVE DEADLINE YA KAZI UNAYOAPPLY
 
watu wa kilimo na mifugo unawachukua mkuu.imranmwombeki.yahoo.com

Umefanya vizuri sana! tunatafuta mtaalam wa kilimo wa mbogamboga na mazao mengine na awe anajua kuendesha trekta, awe anajua kutumia mashine zingine za kilimo, awe na diploma in agricultural.... awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja na awe tayari kufanya kazi Arusha!
tafadhali tuma maombi kwa email iliyoko hapo kwenye matangazo ya kazi za juu!!
tuma resume yako cover letter na cv) na vyeti.
PLZ Sitakujibu ukituma hapa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom