Acheni kuweka contact zenu hadharani, Either mnaweza Mpm huyo bwana au awaambie application zinatumwa wapi. Mtaibiwa vitigo pesa na watu watahack email zenu
anaglia email yako na maelezo mengine yapo kwenye viambatanisho nilivyotumaGraphic Designer. deomedesaugustino@yahoo.com
Naomba msome maelezo yote ktk attachments kisha changamkia deal ni la kweli wadau, kama kuna walaghai siko miongoni mwao!! ukiitwa ktk usaili jibu hapahapa, usiweke contact yako tena(ushauri)!!