Nafasi za Kazi

Nafasi za Kazi

kipandez

New Member
Joined
May 17, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Natafuta watu 20 ambao ni wachapa kazi wa kufanya nao kazi katika kampuni yangu watu ambao wako tayari kupokea muongozo na kuufanyia kazi ipasavyo, watu ambao wako tayari kujiajiri, kujikwua kimaisha na kutimiza malengo Yao wao Kama vijana na watu wote , nipigie simu Kama wewe ni mmoja wao 0657433669 au tuma contacts zako kwenye mwactmzuka@gmail.com
 
Elezea background ya kampuni, qualifications and skills needed
 
kwa sifa ulizotaja watu makini hazitoshi kutushawishi utapata ambao sio makini
 
Yaani bila kubadili fikra wote tutakua machinga huku mjini tukiuza bidhaa za kichina wakati kuna mashamba ya kulima
 
Natafuta watu 20 ambao ni wachapa kazi wa kufanya nao kazi katika kampuni yangu watu ambao wako tayari kupokea muongozo na kuufanyia kazi ipasavyo, watu ambao wako tayari kujiajiri, kujikwua kimaisha na kutimiza malengo Yao wao Kama vijana na watu wote , nipigie simu Kama wewe ni mmoja wao 0657433669 au tuma contacts zako kwenye mwactmzuka@gmail.com

Itakua kazi ya kukamata mbwa koko na kuwauzia wachina.
 
kutembeza vijiko na vikombe vya plastic hapo. Mwenge mpaka boko kwa mguu.
 
...aaah! aaah! jamani hizi comments zenu ,mi mnaniacha hoi sana,nimecheka mpaka ofisini wamejua! teheee tehee!
 
duh mkali mchiz labda anataka wafanyakaz wa kuogesha mbwa nayo c kaz pia au?
 
Mimi niko tayari nakutumia email yangu nicheki kupitia namba 0685816103 kwaiyo iyo kampuni unashugulika na nini?
 
wana jf wana comment unacheka hadi mbavu zauma bwahahahahahahhahaha.....ila mkuu watu makini hutapata hakuna info kamili hapo, ungesema kampuni inajihusisha na nini...duuh sema huhitaji any qualification ni umakini tu, itakua ni forever ka si gnld
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom