Nafasi za kazi

Pitz

Member
Feb 11, 2015
6
1
Kampuni ya kibinafsi Epic Engineering inatangaza nafasi za kazi kwa wale ambao wana diploma ya IT na Mechanical Engineering. Waliofuzu kutoka DIT au Arusha Tech watapewa nafasi za kwanza.
Scan vyeti vyako kwa PDF format na CV utume kwa hii email:
pisack3660@gmail.com

Mwisho wa kutuma ni 15th August 2019.

Karibu
 
Siku hizi raha kwel, nikiataka kuchunguza vyeti vya watu nachunguza kiulaini tu
 
Kampuni ya kibinafsi Epic Engineering inatangaza nafasi za kazi kwa wale ambao wana diploma ya IT na Mechanical Engineering. Waliofuzu kutoka DIT au Arusha Tech watapewa nafasi za kwanza.
Scan vyeti vyako kwa PDF format na CV utume kwa hii email:
pisack3660@gmail.com

Mwisho wa kutuma ni 15th August 2019.

Karibu
Hili tangazo.
 
Mkuu tangazo lako lipo kifupi mno.
Ungeelezea hyo kampuni yako inafanya miradi gani?Je unatoa ajira au temporary work ili candidates wavutiwe ila ukiacha hewani hvyo watu tunahisi ni mtego.
Na je hao watu unaowahitaji wawe na uzoefu wa kazi gani maana Engineering ni pana sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom