Barya
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 949
- 1,196
KEVIN ISAYA COMPANY Inayoingiza bidhaa na kusambaza, imefungua ofisi yake TUNGI MWISHO, KIGAMBONI DSM.
inatangaza nafasi za kazi zifuatazo
1. Afisa masoko 4.
KAZI
kufanya mauzo na kutafta masoko,
kutangaza bidhaa na kuelewesha wateja.
SIFA NA UZOEFU
-Elimu ya diploma na kuendelea
-Uzoefu a miaka miwili katika mauzo
-Uwezo wa kutimiza lengo la mauzo kwa mwezi,
mshahara ;400,000. kwa mwezi
2. Mtemdaji Mkuu.
KAZI
-upokeaji wa mizigo iliyotumwa na kusaini.
-kuwaongoza maafisa masoko au mauzo katika kutimiza lengo lao,
-kutoa maelezo ya kina kwa wateja kuhusu ufafanuzi wa zaidi utakao itajika,
-kupokea order zilizoletwa na afisa mauzo na kuzijaza kwenye system
-kuweka na kutoa hela bank,
-Kuhakiki malipo yaliyofanywa na wateja
-kupokea malipo kutoka kwa wateja na kuweka bank
-kuandaa repoti na kuituma kwa Meneja,
ELIMU NA UZOEFU
-elimu ya chuo kikuu katika fani yeyote.
-uzoefu wa kazi yeyote kwa miaka miwili.
-hasiwe na F ya HESABU form four
MSHAHARA ; 600,000/
3.Secretary 1.
- Kuchapa kazi zote
-kutunza ma faili ya wateja
- kupokea simu za wateja na kuwajibu
ELIMU NA UZOEFU
-mwenye uzoefu katika fani hiyo kwa miaka miwili,
-Elimu ya diploma ma kuendelea
Mshahara; 300,000
4. delivery manager
KAZI
- kufunga na kupeleka mizigo ambayo mizigo yao imefika
- kupakua mizigo kwenye gari na kupakia kwa inayofika na kuondoka,
ELIMU NA UZOEFU
-leseni ya gari
-Elimu kidato cha nne na kuendelea
mshahara 300,000.
jinsi ya kufanya maombi.
Tuma cv na copy ya vyeti KWEYE kevinmulisa@hotmail.com
kwa maelezo zaidi
WASILIANA NA MR DANSTAN DANIEL .0756593006
MUHIMU;
Hakuna rushwa , kazi unaajiliwa kulingana na uwezo wako.
kaa tiyari kufanya kazi.
Ukigundulika umefoji cv au cheti utapelekwa kutunzwa sehem husika .
Dedline tarehe 23.10.2016
UKURASA HUU HAUKO VALID TENA ILA UBAKI KAMA KUMBU KUMBU, WATU WAMESHAPATIKANA BAHATI NZURI 70% WAMETOKA HAPA