kansenyeje
Member
- Dec 11, 2011
- 11
- 0
jamani wadau naomba msaada wenu wa kupata tangazo la kazi lililototewa na chuo cha usimamizi wa mahakama lushoto tanga.
jamani wadau naomba msaada wenu wa kupata tangazo la kazi lililototewa na chuo cha usimamizi wa mahakama lushoto tanga.
Hakuna nafasi ya kazi iliyotangazwa kwa sasa na Chuo cha usimamizi wa mahakama, Ila wametoa shortlisted ya walioomba kazi ambazo zilitangazwa na Sekretalieti ya ajira kama unataka kuona ingia kwenye mtandao wa ajira.go.tz utapata kila kitu... ndo hivyo mdau acha pressure!!!!
I dont want to condemn you what I was trying to say it is written and posted on PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS, even me I get trouble to understand thats only. Je chuo cha usimamiz wa makama ni kipya au ndo kilekile cha Uongozi wa mahakama pls correct me if I am wrong!