Ndugu wadau, katika nafasi zilizotangazwa na MAMLAKA YA BANDARI DAR-ES-SALAAM (TPA) niliomba nafasi ya DEPUTY DIRECTOR - CORPORATE SERVICES deadline ya maombi ilikuwa tarehe 15.05.2013 lakini hadi sasa sijasikia chochote kuhusu mchujo. Wadau naomba mnijuze kinachoendelea huko.