Nafasi za kazi za wakurugenzi (directors) bandarini vipi?

wwww

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
350
252
Ndugu wadau, katika nafasi zilizotangazwa na MAMLAKA YA BANDARI DAR-ES-SALAAM (TPA) niliomba nafasi ya DEPUTY DIRECTOR - CORPORATE SERVICES deadline ya maombi ilikuwa tarehe 15.05.2013 lakini hadi sasa sijasikia chochote kuhusu mchujo. Wadau naomba mnijuze kinachoendelea huko.
 
Technical know who than technical know how ndiyo inayotumika sana kwenye taasisi za kiserikali, kama wewe ni mtu wa Mungu omba sana tena bila kukoma
 
walitangaza kwamba waombaji ni wengi sana tena wengi ni maofisa waandamizi wa taasisi za serikali sasa ndio inawawia vigumu kufanya shortlisting, sijui vimemo vimekuwa vingi sana. TPA wange outsource ile kazi kwa kampuni kama Delloite au KPGM. ingekuwa safi.
 
Majina yalishajulikana kwa vimemo..

Sasa kama majina yanajulikana si wayatoe tu wanaogopa nini? Tulishachoka kusubiri bwana hadi hamu ya interview inaisha. Ni bora yatoke tujue moja kwani asiyekubali kushindwa si mshindani.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom