Nafasi za kazi za Ualimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi za Ualimu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by imma.one, Nov 11, 2011.

 1. imma.one

  imma.one JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tuna nafasi za walimu kwa level zote kuanzia Nursary hadi form six.
  Kwa maelezo zaidi
  piga simu
  number
  0773910857
  0713810857
   
 2. M

  MZEE SERENGETI JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mko mkoa gani
   
 3. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Oya ongeza maelezo kidogo bac wa2 wengine ha2na credit za kutosha bana.
   
 4. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Nini maana yake kutuwekea namba zisizopokelewa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. imma.one

  imma.one JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ok samahani kwa kuwa maelezo hayajitoshelezi.
  Nafasi za Ualimu zipo kwa mkoa Dar es salaam.
  Walimu wa ngazi:- Awali,Msingi na sekondary.
  Nyote mnakaribishwa
   
 6. R

  RONALDO Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona shule hujasema n shule gani utuwekea namba za cmu kaka, yawezekana ikawa shule ikawa chanika cc 2tajueje weka full information
   
 7. R

  RONALDO Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamaa nimempigia cmu amepokea nimemuuliza hyo shule ipo wapi amesema wapo magomeni mapipa lakini akasema hyo pale hakuna shule wanachokifanya wao ni kukuunganisha na shule kwakifupi wao ni madalali wa kuwatafutia wa2 kazi za ualimu..dah kwel tz n noma mpaka kazi za uwalimu zna udalali nchi imekwisha bora kutafuta eneo na kuuanzsha mashamba ya mbogamboga2
   
 8. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Jamaa wanatafta maticha afu kuna wa2 wanazunguka mashuleni kuangalia nafas za kaz thn wanawmdirect huyo ticha afu kuna kiac shule inawagaia
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  teh,teh teh,shida hizi..me nikajua jamaa ndo wadosi wenyewe,kumbe nao ni madalali!
   
 10. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Dah,kweli njaa huleta maarifa.
   
 11. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpaka sasa maelezo hayajitoshelezi kwani ha2jui shule ipo wapi na inaitwaje acheni usanii au mnatafuta watu wa kuwapigia simu.
   
Loading...