Nafasi za kazi za PSPF

Nafasi za kazi za PSPF

sholaa

Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
16
Reaction score
6
Wadau hivi zile nafasi za kazi zilizotangazwa na Pspf mwezi uliopita haijaanza kuitwa watu kwa ajili ya ile interview yao ya kizushi?
 
mmh! Nijue nisijue kwa lugha yako hii hata sikwambii ng'oo...
 
Wadau hivi zile nafasi za kazi zilizotangazwa na Pspf mwezi uliopita haijaanza kuitwa watu kwa ajili ya ile interview yao ya kizushi?

Sasa unataka kujua interview ya kizushi ili iweje??
 
we stevoh hukulazimishwa kujibu kama unaona haina maana kwako changia mada zingine zipo nyingi tu humu JF
 
Dena nlitaka nijue usiwe kimbelembele kujibu kama mdomo wako hauna break
 
Back
Top Bottom