Nafasi za kazi ya uwalimu

Nafasi za kazi ya uwalimu

TANZANIA LEO

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
91
Reaction score
10
ANATAFUTWA MWALIMU WA SOMO LA VOCATIONAL SKILLS. Awe na sifa zifuatazo

1. Awe na cheti cha uwalimu/ ikiwezekana diploma
2. Awe na uwezo wa kuzungumza kiingereza kiufasaha
3.Awe na uwezo wa kuchora michoro midogo midogo
4. Awe anaishi Dar es Salaam.

Kwa mawasiliano piga namba: 0766407153
 
mkuu unaweza kutueleza ni shule gani na ipo maeneo gani kwa hapa dar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom