mrs konk
Member
- Nov 17, 2018
- 54
- 97
Habarin wana JF!! Polen na majukumu wakuu kuna tangazo la kazi lilitolewa na shirika la EGPAF walikuwa wanahitaji Research Officers na Research coordinators deadline ilikuwa tar 17/2 ... Kuna mwenye taarifa yeyote kama wameshatoa shortlisted au lay?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app