Nafasi za Kazi, wasambazaji wa bidhaa

mbongokazi

Senior Member
Dec 31, 2015
110
23
Kampuni ya Trevo Africa inatangaza nafasi za wasambazaji Wa bidhaa zake kwenye wilaya zote za Tanzania Bara na Visiwani hats nje ya Tanzania.

Mahitaji uwe umemaliza Kidato cha NNE, SITA au Diploma, shahada ya kwanza na ya pili au zaidi. Use unajua vema lugha za mawasiliano za mahali ulipo.

Tuma maombi yako kwa njia ya whatApp na utaje Elimu yako na uzoefu wako. Piga picha vyeti vyako na picha yako yahivi kari buni utume.

Andika namba yako ya mawasiliano. Pm numba ya simu yako.
 
Last edited by a moderator:
Kampuni ya Trevo Africa inatangaza nafasi za wasambazaji Wa bidhaa zake kwenye wilaya zote za Tanzania Bara na Visiwani hats nje ya Tanzania.
Mahitaji uwe umemaliza Kidato cha NNE, SITA au Diploma, shahada ya kwanza na ya pili au zaidi. Uwe unajua vema lugha kuu za mawasiliano za mahali ulipo. Tuma maombi yako kwa njia ya whatApp na utaje Elimu yako na uzoefu wako. Piga picha vyeti vvyako na picha yako ya hivi karibuni utume. Andika namba yako ya mawasiliano. Tumia namba +255 769 526 639 kwa whatsApp tu.

ajira zingine bhana! tafadhali naomba kujua majukumu ya hili kundi lenye B.A, M.A na PhD hasa katika huo USAMBAZAJI wa hizo bidhaa. nitashukuru ukinijibu mkuu.
 
Trevo wanauza juisi moja ambayo ni nutritional supplement ambayo hajathibitishwa kisayansi kama inasaidia cho chote. Kuweni makini hasa ikifika mahali mkaambiwa kutoa pesa kidogo. Mtatapeliwa!
 
Kampuni ya Trevo Africa inatangaza nafasi za wasambazaji Wa bidhaa zake kwenye wilaya zote za Tanzania Bara na Visiwani hats nje ya Tanzania.

Mahitaji uwe umemaliza Kidato cha NNE, SITA au Diploma, shahada ya kwanza na ya pili au zaidi. Use unajua vema lugha za mawasiliano za mahali ulipo.

Tuma maombi yako kwa njia ya whatApp na utaje Elimu yako na uzoefu wako. Piga picha vyeti vyako na picha yako yahivi kari buni utume.

Andika namba yako ya mawasiliano. Pm numba ya simu yako.
0657696876
 
Yaani mtu ana PHD umpe kazi ya kuzurura juani kuuza Juice?

Halafu application inafanyika kwa whatsapp, mwe!!
 
Kampuni ya Trevo Africa inatangaza nafasi za wasambazaji Wa bidhaa zake kwenye wilaya zote za Tanzania Bara na Visiwani hats nje ya Tanzania.

Mahitaji uwe umemaliza Kidato cha NNE, SITA au Diploma, shahada ya kwanza na ya pili au zaidi. Use unajua vema lugha za mawasiliano za mahali ulipo.

Tuma maombi yako kwa njia ya whatApp na utaje Elimu yako na uzoefu wako. Piga picha vyeti vyako na picha yako yahivi kari buni utume.

Andika namba yako ya mawasiliano. Pm numba ya simu yako.
ni zile za kuzungukamchana kutwa sijui kwanini mnapenda kututesa hivi halaf mshahara unajilipa mwnyewe kweli mmmh inauma sana
 
huyu jamaa ni member wa network marketing hapa yuko kutafuta kizazi mkuu hiyo biashara haihitaji elimu yoyote ni umachinga tu huo.
 
ni zile za kuzungukamchana kutwa sijui kwanini mnapenda kututesa hivi halaf mshahara unajilipa mwnyewe kweli mmmh inauma sana
Kimsingi hizi biashara ni sawa na pyramid scheme na ni wachache wanaofaidika. Ni lazima uwe mwongeaji sana na mwenye uwezo mkubwa wa kushawishi na kudanganya watu otherwise bidhaa zitakuozea. Ni vigumu sana kumshawishi mtu anunue chupa moja ya Trevo kwa laki mbili. Trevo yenyewe ni diet supplement tu na haitibu cho chote lakini ni lazima ushupae kudanganya watu kuwa inatibu magonjwa zaidi ya 50 na utoe na testimonials za uwongo kibao. Siyo kazi rahisi hii hata kidogo na wengi huishia kupoteza hata vimtaji vyao walivyoanzia. Waulize watu waliokurupuka na GNLD ilipoanza watakwambia!
 
SITAKI KUSIKIA HII WANAUMIA SANA NA KUNA WENGINE HAUZI HATA 100 KHAAAA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom