KAc secondary school iliopo Arusha inatangaza nafasi za Walimu katika Michepuo ya Sayansi,Arts na BiasharaSifa za mwombaji Asiwe form six leaver. Maombi yatumwe kwa kutumia E-mail ya shule kac@kisongocollege.comAu sanduku la posta P.O.Box 16181 Arusha-Tanzania
Toa namba za cm kazi za walimu nyingi kila kona kuna secondary. walimu siku hizi hawatumi maombi kwa email maana kazi zao nje nje tena ukiwa na diploma au degree ya Bsc Education ya science.