Nafasi za kazi viwandani

Nafasi za kazi viwandani

Viwanda vingi vya chuma kuna ajira nenda pale mikocheni ndustrial area.....Tanzania ya Magufuli niya viwandaaa.....Hapa kazi tu
 
Nimepitia karibu reply zote humu naona wengi sana tu wahanga wa Ajira, sasa Mimi nashauri kitu kimoja hapa (ingawa baadhi wataniona wa ajabu)
Juzi tu hapa nimetoka mtwara na Lindi just kufanya research ya fursa zilizopo kule, kusema kweli fursa ni nyingi sana hasa za Kilimo. Nikaangalia ardhi na kuongea na wenyeji tena hapa nilijaribu kuongea na wenyeji wakongwe. Maswali Yangu kwo yalikuwa.
mazao gani yanakubali kwa sana huku
Jibu hapa lilikuwa Nyanya (tena hizi zina soko kubwa sana kwani hufikia hadi 25000~27 kwa plastik ya 20 litre)
Ufuta, mbaazi (kilo moja 2000) mihogo(kuhusu soko wizara imetuhakikishia ingawa juhudi binafsi muhimu sana) just to mention a few.
Sasa vijana wenzangu kwa nini tusijikite huku tukawekeza kihalali??
Najua mtaji hapa ndo litakuwa swali kwa kila mmoja wetu lkn kama watu tukiwa na nia ni kiasi cha kuunganisha kidogo tulicho nacho na kuanza..
Nawasilisha haya machache kati ya mengi niliyonayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom