Nafasi za kazi utangazaji wa redio

Nafasi za kazi utangazaji wa redio

dlazari

Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
74
Reaction score
30
Tunatafuta

Watangazaji 3
Dj 1.

Sifa:

Uwe umesomea Utangazaji au Una kipaji cha kutangaza.

Wenye uzoefu na wanaojiamini watume CV au Barua za Maombi kwenye email.

Pia uwe Tayari kufanya Kazi Mkoani. Ni redio ya kibiashara (Commercial Radio)

info@mainstreammedia.co.tz

Mwisho ni Tar 25 Jan 2017.

Please share Tangazo hili na Mwenzio
 
ok mzee tujaribu bahati,,makao makuu yako Wap,,,? je tunatuma cv tu au na cover letter?
 
Mwenyewe hujui kutangaza biashara alafu wasema ni Commercial Radio Hihihiii.
 
Tunatafuta

Watangazaji 3
Dj 1.

Sifa:

Uwe umesomea Utangazaji au Una kipaji cha kutangaza.

Wenye uzoefu na wanaojiamini watume CV au Barua za Maombi kwenye email.

Pia uwe Tayari kufanya Kazi Mkoani. Ni redio ya kibiashara (Commercial Radio)

info@mainstreammedia.co.tz

Mwisho ni Tar 25 Jan 2017.

Please share Tangazo hili na Mwenzio

Nimeshatuma CV japo hamjaainisha ni Radio ipi na Mkoa gani .
 
Tunatafuta

Watangazaji 3
Dj 1.

Sifa:

Uwe umesomea Utangazaji au Una kipaji cha kutangaza.

Wenye uzoefu na wanaojiamini watume CV au Barua za Maombi kwenye email.

Pia uwe Tayari kufanya Kazi Mkoani. Ni redio ya kibiashara (Commercial Radio)

info@mainstreammedia.co.tz

Mwisho ni Tar 25 Jan 2017.

Please share Tangazo hili na Mwenzio
Hivi Leo ni tarehe ngapi?
 
Hata jina la redio haujataja,hata mkoa haujaeleza,aisee
 
Back
Top Bottom