Nafasi Za Kazi Utangazaji wa Redio

Nafasi Za Kazi Utangazaji wa Redio

dlazari

Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
74
Reaction score
30
Radio Mpya inaanzishwa Mkoani Manyara na Tunatafta Watangazaji wa redio, wenye uzoefu zaidi ya Mwaka Mmoja

Mwombaji awe tayari kufanya kazi kwenye Redio iliyoko Mkoani.

Mwongozaji Awe na cheti chochote kutoka kwenye chuo cha habari kinachotambulika.

Atume CV kwenda

info@mainstreammedia.co.tz

kabla ya tarehe 25-Jan-2018
 
Jaribu kum-tag Ufoo Saroo maana siku sio nyingi nyuma nilisoma humu kwamba ITV wamemtema.
 
Sina uhakika mkuu,humu jamvini kuna habari inayozungumzia ufoo saroo na wenzie Julius Njole na Neema Kindole kwamba wametemeshwa mzigo.ukii-search unaipata nimeshindwa kuupandisha uzi wake hapa.
 
Ni redio gani ya kijamii? Commercial au ya dini kamilisha maelezo
 
Sina uhakika mkuu,humu jamvini kuna habari inayozungumzia ufoo saroo na wenzie Julius Njole na Neema Kindole kwamba wametemeshwa mzigo.ukii-search unaipata nimeshindwa kuupandisha uzi wake hapa.

Daah...!!! hatari sana, kama ni kweli Se'Kindole arudi Iringa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom