Qj_
Senior Member
- Feb 16, 2017
- 157
- 148
Kama una mtu kasomea maswala ya utalii Diploma au degree mwambie atume CV yake 2africanculture@gmail.com mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15/05/2017.
Customer Care (2 post).
Sifa za Muombaji.
1.Msichana mwenye umri kuanzia miaka 20-25
2.Diploma au degree ya maswala ya utalii
3.Uwe na uwezo wa kuongea fluent kiingereza & kiswahili
4.Uwe na uwezo wa kuandaa itinerary vizuri
5.Uwe Smart
6.Uwe tayari kusafiri kikazi mda wowote kwenda Kenya,Uganda, au Zanzibar island
7.Uwe na uelewa mzuri wa maswala ya utalii hasa hapa Tanzania.
8.Uwe na ujuzi wa kutumia computer
Vitu vya kuambatanisha (Attachments)
1.Vyeti vya Masomo
2.Picha mbili za kawaida