Project Engineer
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,578
- 6,087
Jamani mwenye majina atuwekee basi
Ni aptitude test mkuu! Majina yametoka Leo.Ni aptitude test au written ya kawaida?
Mimi nadhani hawa wameitwa kwenye interview ya kuandika inaitwa aptitude test. Hii kama sikosei huwa ni maswali ya common sense ambayo hata babu yako aliye kijini ambaye hajui kusoma wala kuandika, ukimtafsiria kwa kilugha chenu maana ya swali, anaweza akakusadia kulijibu kwa ufasaha zaidi kama yupo kwenye chumba cha mtihani, pengine kuzidi hata wewe mwenyeweHivi kwenye usaili (interview) za 'administrative officer ' huwa wanaulizaga maswali gani hasa jamani tusaidiane
Tayari wameshaweka mkuu ingia uchekiHivi si walisema Watachapisha kwenye 'website ' jumatatu?