Big Fat Lady
JF-Expert Member
- Jul 26, 2019
- 205
- 324
watu wameanza kuitwa kwa usaili tokea janaOmbeni
Hivi kwenye usaili (interview) za 'administrative officer ' huwa wanaulizaga maswali gani hasa jamani tusaidiane
Umeitwa kwenye oral au writtenHivi kwenye usaili (interview) za 'administrative officer ' huwa wanaulizaga maswali gani hasa jamani tusaidiane
WrittenUmeitwa kwenye oral au written
Ni aptitude test au written ya kawaida?Written
Hawajasema maana wamenipigia simu tu nakuniambia nijiandae na interview tarehe 19/march na wamesema watatoa majina kwenye website on MondayNi aptitude test au written ya kawaida?
Kama ni written soma sana nondo za darasan pitia notes zako kadiri uwezavyoHawajasema maana wamenipigia simu tu nakuniambia nijiandae na interview tarehe 19/march na wamesema watatoa majina kwenye website on Monday
By the way hebu Niambie tu Kama ni written wanaulizaga maswali gani na kama ni aptitude wanaulizaga maswali gani?
Ombeni
Sawa lakini tangazo la kazi limesema linahitaji taaluma zaidi ya moja eg HRM, public administration, sociology na Law! Nisome vitu gani sasa!Kama ni written soma sana nondo za darasan pitia notes zako kadiri uwezavyo
Aptitude huwa ni maswali ya kupima IQ hvy hayaeleweki pitia google check aptitude test for administration officer utapata idea
Soma mambo ya hr au public admin yapo sijajua wew ni muhitimu wa course gani?Sawa lakini tangazo la kazi limesema linahitaji taaluma zaidi ya moja eg HRM, public administration, sociology na Law! Nisome vitu gani sasa!
Mimi ni LawSoma mambo ya hr au public admin yapo sijajua wew ni muhitimu wa course gani?
Pitia administrative law soma research vizur japo siko vizur na field ya law ila pitia pitia na nondo za hrMimi ni Law
Japo na hisi itakuwa aptitude test manake mko wa field tofautiMimi ni Law
Ngoja nianze na research, kwa sababu hata kwenye 'interview ' ya Brela tuliulizwaPitia administrative law soma research vizur japo siko vizur na field ya law ila pitia pitia na nondo za hr
mwenye majina atume tuoneNgoja nianze na research, kwa sababu hata kwenye 'interview ' ya Brela tuliulizwa
Hivi si walisema Watachapisha kwenye 'website ' jumatatu?mwenye majina atume tuone