mariah carey
Member
- Dec 18, 2012
- 10
- 2
Jamani wadau tuambizane wale mlioko mikoani mara tu ajira za TPA zitakapotangazwa
Jamani wadau tuambizane wale mlioko mikoani mara tu ajira za TPA zitakapotangazwa
no,nilichosomea kinahusiana na mambo ya bandarini,niambie ntafute wap
Wasomi wa siku hizi bhana? Kwani nani kakwambia wa Mikoani ndio watakaotangaziwa kwanza? Kwani Mikoa ipi ina Bandari zaidi ya Mtwara, Tanga na DSM? Au unataka Bandari za huko Nkasi, Nyasa na Mwanza/Bukoba?Jamani wadau tuambizane wale mlioko mikoani mara tu ajira za TPA zitakapotangazwa
sasa zkitangazwa mtaniambia au
sasa zkitangazwa mtaniambia au
Tafuta office ya clearing and forwarding ufanye kazi au kuvolunteer. maana na hizo basic course. zikitoka nitakwambia m nitaziweka ila uwe unapitia website za ajira kama zoomNmesomea Shipping and port operations
no,nilichosomea kinahusiana na mambo ya bandarini,niambie ntafute wap
Umesomea kozi gani, Maraya Kery, na chuo gani?
Pia fuatilia ICD Hizi TALL,MASS,FARION,DHAND0,MAERSK,SILVER,EVERGREEN, TRH.
unataka umsaidie au ukamkague???halafu wewe mzee wewe jiangalie
Hahahaha! Si anataka kazi kwa wazee wa bandari? Ni jukumu letu wazee kuwasaidia wajukuu. Mambo ya ukaguzi yanategemea vigezo na masharti.
BTW mbona sikusomi, umenipotezeaje?