Nafasi za kazi Tanzania Bureau of Standards (TBS)

ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
3,741
5,431
Kama unaweza kupata gazeti ya Daily News ya tarehe 2 kuna nafasi nyingi za kazi zilizotangazwa na TBS. Nilijaribu kuzipiga picha ; unaweza kupitia ili uone nafasi unayofit.
 
Mkuu izungushe tu...wala haina shida ,gazeti lenyewe niligongea kuwahi nisinyang 'anywe kabla ya kumaliza kupiga picha.
Mia Mia mkuu... kuonyesha ni jinsi gani unajari...πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…