Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaweza kupata gazeti ya Daily News ya tarehe 2 kuna nafasi nyingi za kazi zilizotangazwa na TBS. Nilijaribu kuzipiga picha ; unaweza kupitia ili uone nafasi unayofit.
Mkuu izungushe tu...wala haina shida ,gazeti lenyewe niligongea kuwahi nisinyang 'anywe kabla ya kumaliza kupiga picha.Unapiga picha upside down mzee baba vp tena au unastress za kangomba
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Unapiga picha upside down mzee baba vp tena au unastress za kangomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mia Mia mkuu... kuonyesha ni jinsi gani unajari...🙏🙏🙏🙏Mkuu izungushe tu...wala haina shida ,gazeti lenyewe niligongea kuwahi nisinyang 'anywe kabla ya kumaliza kupiga picha.
Mkuu izungushe tu...wala haina shida ,gazeti lenyewe niligongea kuwahi nisinyang 'anywe kabla ya kumaliza kupiga picha.
Asante sana mkuu. Kuna nafasi zingine pia zaidi ya hizo ebu jaribu kutafuta gazeti unaweza kupata nafasi inayokufaa.Ubarikiwe sana mkuu...hakika watu kama nyie ni wachache sana.
Thank you sana, ingawa sijawa mlengwa.
Sent using Jamii Forums mobile app