blackgal94 Member Jul 13, 2016 37 15 Jan 22, 2018 #1 Habarin,mm ni binti mwenye miaka 24 natafuta nafasi ya kazi kwenye supermarket, sehemu za kuonesha sinema, sheli ..n.k ..napatikana dar ..asanteni....mwenye chaneli pliz naomba ani text inbox
Habarin,mm ni binti mwenye miaka 24 natafuta nafasi ya kazi kwenye supermarket, sehemu za kuonesha sinema, sheli ..n.k ..napatikana dar ..asanteni....mwenye chaneli pliz naomba ani text inbox
blackgal94 Member Jul 13, 2016 37 15 Jan 22, 2018 Thread starter #2 Habarini, Mimi ni binti mwenye miaka 24 natafuta nafasi ya kazi kwenye supermarket, sehemu za kuonesha sinema, sheli n.k napatikana Dar. Ahsanteni, mwenye chanel please naomba ani text inbox.
Habarini, Mimi ni binti mwenye miaka 24 natafuta nafasi ya kazi kwenye supermarket, sehemu za kuonesha sinema, sheli n.k napatikana Dar. Ahsanteni, mwenye chanel please naomba ani text inbox.
mathematics JF-Expert Member Feb 21, 2012 3,323 1,105 Jan 22, 2018 #3 Bandiko kichwa cha habari kama vile unatangaza kazi , lakin kumbe unatafuta.
princess ariana JF-Expert Member Aug 19, 2016 7,553 14,381 Jan 22, 2018 #5 andikeni basi "NATAFUTA KAZI" kama kichwa cha habari maana mkisema nafasi za kazi wengine tunakuja mbio mbio kwanini mnatuchosha nafsi zetu lakini jamani
andikeni basi "NATAFUTA KAZI" kama kichwa cha habari maana mkisema nafasi za kazi wengine tunakuja mbio mbio kwanini mnatuchosha nafsi zetu lakini jamani
zugazuga na mimi JF-Expert Member Sep 13, 2017 242 77 Jan 24, 2018 #6 mathematics said: Bandiko kichwa cha habari kama vile unatangaza kazi , lakin kumbe unatafuta. Click to expand... aiseee
mathematics said: Bandiko kichwa cha habari kama vile unatangaza kazi , lakin kumbe unatafuta. Click to expand... aiseee