Hata tanesco mchezo ni huo huo, tena wale ndo nux wanatangaza, wanawaita,wanawaintavyu alafu wanawabwaga wote mnaanza kujiuliza nani kaajiriwa? mkienda HR mkaongea fresh na mtu kiushikaji anawapa full kwamba pale mlikua mnakamilisha procedure lakini mwenyewe mbona kaanza kazi mwezi sasa....unaishiwa nguvu....! Tanesco wanakua wakweli pale tu wanapochukua group la graduates pale mlimani lakini hizi za kujitokeza sahau....