Nafasi za kazi Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (NHIF)

Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
11,966
10,336
VACANCIES ANNOUNCEMENT

1.0 On behalf of The National Health Insurance fund (NHIF) Public Service Recruitment

Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 65 vacant posts.

1.0 THE NATIONAL HEALTH INSURANCE FUND (NHIF)

The National Health Insurance Fund (NHIF) is a statutory Health Insurance Scheme

established by the Act of Parliament No. 9 of 1999, to undertake the responsibility of

insuring medical care service to its members.

The Fund commenced its operations in 2001. Its head office is located at , Kurasini-

BenderaTatu Dar Es Salaam , and has branch offices in Ilala, Temeke, Kinondoni,

Morogoro, Dodoma, Moshi, Arusha , Tanga, Iringa, Mbeya, Rukwa, Ruvuma, Mtwara,

Mwanza, Mara , Tabora, Kigoma, Lindi, Singida, Shinyanga, Kibaha, Kagera, Manyara,

Geita, Njombe, Katavi, Simiyu, and Zanzibar.
 
Attachments

  • VACANCIES ANOUNCEMENT NHIF.pdf
    511.5 KB · Views: 414
hizi posts sio ndio zilezile walizositisha kutangaza matokeo mwaka jana ambazo written interview ilifanyika pale duce..!!?
 
Hizo nafasi hao sekretarieti hua wanapeana humo kwa humo,nafasi nzuri nzuri kweny mashirika wanagawana,watoto wa wanyonge subirini za halmashauri tu,mtupwe huko simiyu ndani ndani,au ngara huko.
 
Hizo nafasi hao sekretarieti hua wanapeana humo kwa humo,nafasi nzuri nzuri kweny mashirika wanagawana,watoto wa wanyonge subirini za halmashauri tu,mtupwe huko simiyu ndani ndani,au ngara huko.
acha ukiazi tuma kwanza mengine mwachie Mungu
 
Nimejaribu kuzipitia hizi ajira,sio zile zilizositishwa mwaka Jana,bt wanasema wanaweza advertise upyaaa kupitia utumishi kama hizi,
 
Hizo nafasi hao sekretarieti hua wanapeana humo kwa humo,nafasi nzuri nzuri kweny mashirika wanagawana,watoto wa wanyonge subirini za halmashauri tu,mtupwe huko simiyu ndani ndani,au ngara huko.
Kwa akili hizi mnakuja kulalamika kazi hakuna? Ulitaka upelekwe wapi? Huko unakokupinga sio Tanzania?
 
Back
Top Bottom