Irene marwa
Member
- Jul 25, 2020
- 35
- 36
Wanakuja
Fursa hiyo kwa wasukaji,
Ni vizuri ukaelezea kwa siku msukaji anatakiwa afanye hiyo kazi kwa saa ngapi? akifika kazini hiyo saa 2 anatoka muda gani?
Mkuu wewe fungua saluni yako umuachie dada au Kaka, Mtoa uzi kafungua ya kwake anaendesha anavyotaka, mbona kupangiana tena mkuuMshahara laki na nusu acha mizaha. Salon muachie dada u kaka, muwekee malengo kwa siku akuletee elfu 20...zikizidi zake!
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Hapana wanasukwaKuna Wanaume wanasuka?
. Kama weweHapana wanasukwa
Acha hizoMshahara laki na nusu acha mizaha. Salon muachie dada u kaka, muwekee malengo kwa siku akuletee elfu 20...zikizidi zake!
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app