Nafasi za kazi Saloon

thanksme

Senior Member
Jan 30, 2012
130
41
Nafasi za kazi katika saloon ya kiume na yakike
Saloon ipo Mbezi Luguruni (kwa Gamba)

Msichana mmoja kwaajili ya saloon ya kiume (kumuosha mteja baada ya kunyoa na kufanya scrubbing)

Wasusi wawili kwaajili ya saloon ya kike (mwanaume au mwanamke)

Saloon ni yakisasa.

Kwa taarifa zaidi ni PM

Edited
 
Aina ya kazi yaani daily routine ili mtu ajipime
 
Nafasi za kazi katika saloon ya kiume na yakike
Saloon ipo Mbezi Luguruni (kwa Gamba)

Msichana mmoja kwaajili ya saloon ya kiume (kumuosha mteja baada ya kunyoa na kufanya scrubbing)

Wasusi wawili kwaajili ya saloon ya kike (mwanaume au mwanamke)

Saloon ni yakisasa.

Kwa taarifa zaidi ni PM

Edited
Kama nafasi bado zipo.. nataka nafasi moja ya kusuka.. msichana
 
Nafasi za kazi katika saloon ya kiume na yakike
Saloon ipo Mbezi Luguruni (kwa Gamba)

Msichana mmoja kwaajili ya saloon ya kiume (kumuosha mteja baada ya kunyoa na kufanya scrubbing)

Wasusi wawili kwaajili ya saloon ya kike (mwanaume au mwanamke)

Saloon ni yakisasa.

Kwa taarifa zaidi ni PM

Edited
Habari mm nahitaji namba yangu ni 0692978110
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom