NDUKI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 3,440
- 2,450
Hawa nao wazinguaji tu Bado wana Mambo ya kizamani wanataka kila mtu aende na bahasha lake katka ofisi zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama hawana website au email address hapana, ila kufanya hivyo inaweza kuwa ni moja ya kupata watu wenye uhitaji wa kweli.
Coz mtu mpaka unaacha mambo yako na kupeleka application ofisini kwao ni kweli una uhitaji wa kazi.