Jipu, jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza ndugu yangu.
Inavyokuwa:
JKT - usaili wao unaanza kabla ya wengine
Form 4 & 6 - Wanafuata
Profefessionals - last! halafu hawa wanakuwa recruited as per need..sio kwa mkupuo tena. Yaani unaweza kuajiriwa kama raia kwanza then muda wa kwenda depo ukifka wanaenda na wenzao.
Ndiyo maana nikamuuliza..now Mr. sir Jipu...ujinga wangu ni upi!:nono: