Nafasi za kazi Peco Company

Nafasi za kazi Peco Company

DR.RWEYENDERA

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
403
Reaction score
386
Peco Company Ni Kampun Ya Kigen Toka asia, Yenye Makao Yake Makuu Kinondon B, Dar Es Salaam, Inawatangazia Nafasi Za Kazi Kwa Ngazi Zifuatazo,
A, SECRETARY, Mwenye Elimu Ya Secretary Ngaz Ya Diploma, Awe Msichana, Umri Usiozid Miaka 26, Mshahara Ni Maelewano,
AFISA MAUZO NAFASI 10,
sifa , awe mwenye diploma na kuendelea, awe mwenye umri usiozid 25, mshahara 400,000TZSHS, MKATABA WA MWAKA MMOJA
Piga simu 0742354879 au email cv yako kwenye kenv1nath@yahoo.com iangalie vizuri email address kwa makin,
TAFADHALI HATUKUBALI RUSHWA YA AINA YEYOTE,
MWISHO WA KUPIGA NI TAREHE 02..OCTOBER IJUMAA

TUMEONGEZA MUDA WA KUAPPLY THEN tuma kwenye email hii edonisaya@gmail.com
 
Mkuu, mimi nimemaliza Bachelor Degree , ila bado sijapata Cheti Cha Degree
 
mheshimiwa nimekutumia email kwa kufuata maelekezo hayo juu kuna haja ya kukutafta kwenye simu.
 
Najua mnatangaza kwa mara ya pili, mara ya kwanza mlitangaza kwa lugha ya kiingereza wiki iliyopita. Vipi wale walio-apply mwanzo mmewafanyaje?, je hakuna aliyeapply ama?,km wapo walio apply je mmeisha wafanyia usaili? Najua mnahusika na uuzaji wa vifaa vya electronics, mbona hamuweki details zote kwenye tangazo lenu?, kumbukeni watakao-apply wengne hawapo dar wanatoka mikoani, je mna malipo yoyote tofauti na huo mshahara?
 
Mkuu unaifahamu hii organization?
 
Mkuu unaifahamu hii organization?

Tangazo liliwekwa hapa wiki iliyopita ila lilikuwa ktk lugha ya kiingreza, mm siijui kabisa. walikuwa wanataka secretary (1), sales man (5). Na hata email waliyotumia sio hiyo waliyoiweka hapo juu
 
Tangazo liliwekwa hapa wiki iliyopita ila lilikuwa ktk lugha ya kiingreza, mm siijui kabisa. walikuwa wanataka secretary (1), sales man (5). Na hata email waliyotumia sio hiyo waliyoiweka hapo juu

which mean.......!!!!? someone at work!
 
Kuna Watu 25 Wamekuja Kwenye Interview Jumamos, Tumepata Waliokidhi Vgezo 7 Tu, Hvo Endeleen Kuapply Tuna Interview Ya Pil Tarehe 10,
 
Tangazo liliwekwa hapa wiki iliyopita ila lilikuwa ktk lugha ya kiingreza, mm siijui kabisa. walikuwa wanataka secretary (1), sales man (5). Na hata email waliyotumia sio hiyo waliyoiweka hapo juu

Watu Wameitwa Kwenye Interview Tiyari, Tulitangaza Nafas 5 Kwanza Ila Tumeamua Tuwe Nao Zaid Ya Hao, ,
 
Nimekuja Kwenye Ofisi Zenu Ila Majibu Mnatoa Lini? Kuna Wengine Tunaenda Nje Ya Mkoa Pia,
 
Kuna Watu 25 Wamekuja Kwenye Interview Jumamos, Tumepata Waliokidhi Vgezo 7 Tu, Hvo Endeleen Kuapply Tuna Interview Ya Pil Tarehe 10,

Hamko serious kabisa, hata mm mliniita lakin sikuja. Kwanini muite watu 25 na wasiokidhi vigezo kama sio kusumbua watu?, iteni waliotimiza vigezo tu msiwe wababaishaji. Watu weng wanatoka nje ya mkoa wa dar es salaam wanatumia pesa nyingi kufika dar. Wekeni vigezo vyote vinavyotakiwa ili watu wajiridhishe kabla hawajatuma cv zao, sio mnaweka vigezo viwili tu! alafu mnaanza kusema hawakukidhi vigezo, how?. Mjirekebishe maanisheni mnachokitaka!
 
Watu Wameitwa Kwenye Interview Tiyari, Tulitangaza Nafas 5 Kwanza Ila Tumeamua Tuwe Nao Zaid Ya Hao, ,

Sawa, toeni vigezo vyote. Iteni watu waliokidhi vigezo tu, wasiokidhi waacheni. Nahisi kuna vigezo vingne mnavyotumia ambavyo havipo kwenye maelezo yenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom