Hivi kuna cheti ambcho hakijawa certified? ahahah
na vipi hao uliowataja wana vifaa vya kutambua kuwa ni cheti original
ukweli unabaki palepale kuwa certification ni ile ambyo imethibitishwa na mamlaka husika ya elimu mfn chuo. NECTA TCU nk
Umetoka usingizini? Hapa tunazungumzia certified COPIES of the ORIGINAL CERTIFICATES. Yaani nakala kutoka cheti halisi. Kinachofanywa na mtu anae certify ni kuonesha kuwa copy iliyotumwa imetolewa kwenye cheti halisi ambacho yeye amekiona kwa macho.
Hiyo hufanywa kwa kuwa muombaji hawezi kutuma vyeti halisi kila anapoomba kazi.
Umetoka usingizini? Hapa tunazungumzia certified COPIES of the ORIGINAL CERTIFICATES. Yaani nakala kutoka cheti halisi. Kinachofanywa na mtu anae certify ni kuonesha kuwa copy iliyotumwa imetolewa kwenye cheti halisi ambacho yeye amekiona kwa macho.
Hiyo hufanywa kwa kuwa muombaji hawezi kutuma vyeti halisi kila anapoomba kazi.
huyo jamaa ni muhuni. hajui meaning of certification
DUET huo ndo ufafanuzi uliowahi kutolewa na sekretariati ya ajira wanaopozungumzia certified hawamaanishi hyo certifucation ya hao mahakimu sijui akina nani
coz ht ukipeleka kwa huyo hakimu au wakili atakutafunia hela yako mwsho wa siku kwenye usaili vueti vinakaguliwa upya
hata mimi mwanzo nilikuwa nadhani hivyo nikaingia gharama
baadaye nikipopata ufafanuzi nikawa natuma bila kupeleka kwa hao wanaoishi kwa mihuri na nikaitwa kwa usaili bila kikwazo
hakuna cheti ambacho hakijawa certified... Kutoa kopy na kumpelekea mgonga mhuri kumpa hela NI MRADI MWINGINE WA KIFISADI
SIJAWAHI ONA TANGAZO LA KAZI LILILOFAFANUA KUWA WANATAKA UTOE KOPY NA KUCERTIFY NA HZO MAMLAKA WALIZOTAJA
WANACHOMAANISHA NI CERTIFICATION YA MAMLAKA ILIYOTOA CHETI AMBAYO INAONEKANA KTK VYETI VYAKO ORIGINAL
HIVYO KUANZIA LEO JAMANI mjue hili kuwa hakuna haja ya kuchosha akili kama hakuna ufafanuzi wa ziada.. Na matumizi mabaya ya fedha yasiyohitajika
kuna mamlaka kama HESLB hawa ndo huwa wanafafanua kwamba hakikisha kopy zako za vyeti zinakuwa certified na hakimu au wakili anayetambulika kisheria.
TUSIDANGANYANE HAPA kwenye ajira hamna hiko kitu coz wakati wa usaili vinakaguliwa..
ILA KAMA UNA HELA YA KUCHEZEA NA VYETI VYAKO UNA WASIWASI NAVYO PELEKA KWA HAO WATU UENDELEE KUWAPA RIZIKI ISIYO YAO ahahah
Wadau nasikia hawa jamaa wametoa nafasi za kazi,hebu mwenye hlo tangazo au updates zake tuambiane.
Ww unaelewaje kuhusu certification? mana hayo matangazo ya kaz hawasemk kuwa ucertify kuwa ni tru copy ya original copy
tatizo lako umetafsiri certification ktk context moja. Huo ni ujinjga uliokubuhu
tena vinapigwa na mhuri tena
CERTIFIED AS A TRUE COPY wengine wanaandika
Ww unaelewaje kuhusu certification? mana hayo matangazo ya kaz hawasemk kuwa ucertify kuwa ni tru copy ya original copy
tatizo lako umetafsiri certification ktk context moja. Huo ni ujinjga uliokubuhu
natambua umuhimu wa maafisa viapo ila ktk hili msipotoshe umma
Number 2
tena vinapigwa na mhuri tena
CERTIFIED AS A TRUE COPY wengine wanaandika
Indeed. Na afisa viapo aliyepitisha huweka sahihi na cheo chake.
Lengo ni kuhakikisha kwamba waombaji wanaotuma maombi wanavyo vyeti halisi huko walipo. Maana kuna watu wamepoteza vyeti wanazo copy tu za vyeti, ili kuwabaini hawa na wengine wenye michezo ya uchakachuaji wa vyeti ndio maana mchakato unaanzia wakati wa kutuma maombi na unaendelea mpaka utakapo kuwa kazini.
Genive hivi eti why mtu akipoteza cheti hawampi kingne/?uwa sielewi
Kwani kupoteza cheti ni hatia?help plz
Kupoteza cheti si hatia kwa mwingine ila dhidi yako mwenyewe kwasababu hutapata kingine.
Unapoomba kazi mamlaka iliyotoa cheti ndio itakua inathibitisha kuwa ilikupa cheti kwa muajiri wako au muajiri wako mtarajiwa.
Kwa hilo nadhani utaona usumbufu mkubwa unajitokeza ambao unakugharimu wewe mwenyewe na si mwingine.
Binafsi siwezi peleka cheti changu akatibitishe huyo afisa viapo ilihali hana uhakika kama hiko ni cheti halisi
kuhusu suala la kusema cheti kimepotea mtu anazo kopi tu sidhani kama lina madhara au mantiki kwa mtangaza kazi. Maana ht wakimwita kwa usaili hatokuwa na vyeti halisi
tukubaliane ukweli kuwa upitishaji vyeti kwa hao mnaoita maafisa viapo ni mradi wa kifisadi vinginevyo wawe na mtambo wa kuwawezesha kung'amua kuwa ni cheti halisi
na ndyo maana watu hawapitishi huko kwa hao maafisa viapo na wanaitwa kwenue usaili kama kawa
kwa siku hizi ni ngumu kufanikisha kazi na cheti fake kama wengi mnavyodhani...
MWENYE AKILI TIMAMU NA AMBYE YUKO NEUTRAL NDO ANAWEZA KUELEWA HOJA YANGU NA SYO HUYU duet ambye ni mhanga wa LLB aliyepigwa chini kwa kukosa sifa ya LAW school tehhhhhhh
Waibien wasiojielewa
nasisitiza ni mpk pale tu employer atakavyosisitiza kama wqnavyofanya HESLB kuwa kopi zipitishwe kwa hao maafisa viapo tena HESLB wamewataja kabisa.. Kozi wao huwa hawana mda wa kukagua vyet
Pole sana...