Uchochezi wapi, I personal visited the offices last time and being told, if you name is not of that side you will never be called in interview even if you Ur qualifying, At a surprise all the candidate were at least having a Muslim name! And the function of this forum is to shout so that things should change. If we shout up, it will continue burning and you never that next! It is out love to NSSF that push this! Let the forum share they experience!
Duuuh! Kiswahili hujui au?
. Applications without latest CVs will not be considered;, hawa maustadhi vp? hw do thy knw km ni latest cv o?
2lipo peleka kwa mkono offcn kwao jamaa akikagua akikuta huja certsfy anakurudisha.
Usaili,sisi tulipeleka bila kucertify na walizipokea.Umepelekaje kwa mkono? Hukusoma how to apply?
. Applications without latest CVs will not be considered;, hawa maustadhi vp? hw do thy knw km ni latest cv o?
Wanaposema certified haina maana ya kupeleka mahakamani.. Certification inayizungumzwa hapo ni ile iliyiandikwa kwenye cheti na transcript
Usaili,sisi tulipeleka bila kucertify na walizipokea.
Kwa hiyo ushauri wako upi katika hilo
Tafakari, chukua hatua
Nichukue hatua gain??
Bila kimemo sahau maana sahivi hr anavimemo vingi kupita nafasi zenyewe