Nafasi za kazi NSSF - October 2014


mdau punguza ukali wa maneno yako. Unajua humu JF kuna watu wako rahisi sana kusema yao hasa pale wanachotaka wao hakiwi. Mambo ya dini yamefuata nn humu? Tujifunze kuwa wavumilivu, maana kuna mengi sana yanatokea mbona wahusika hawasemi. Wanataka kila kitu kiwe vile watakavyo wao.......mtu kama ana sifa aombe kazi, kwani mmeambiwa NSSF ni World Vision
 

Hoja ya udini Nssf ilianzishwa na failures waliojikuta hawana output ndo wakazusha hivyo.
 
kazi za wavaa hijabu na mashehe ukienda hivihivi kwaheri.
 
Huko Baraza la maaskofu kama Pspf Ppf Lapf vipi wanasemaje.


ulitirirka vizuri...ila apo kwenye red ukatereza..
mi ni mkristo, na sikupendezwa na jamaa wa awali alivyohusisha udini, nawewe ukamjibu fresh,,ila ulivyomalizia ki udini bas ukanikera pia

..............................................
Wasalimie.

Waambie tunakuja hadi huko kuwasaidia kazi.

Maana wao wanachojua ni kuiba tu na kupeleka pesa makanisani.[/QUOTE]
 
kazi kuvunjana moyo tu kama una vigezo apply usisikilize uongo wa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…