mfwende sawadogo JF-Expert Member Joined Aug 2, 2021 Posts 2,466 Reaction score 5,674 Dec 19, 2022 #61 Lukaku marata said: Mbona tushaanza kazi mkuu Click to expand... kimya kimya wakuu ,htupeani na feedback
Lukaku marata said: Mbona tushaanza kazi mkuu Click to expand... kimya kimya wakuu ,htupeani na feedback
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,966 Reaction score 26,183 Dec 20, 2022 #62 mfwende said: wakuu poleni na harakati. juzi hvi NMB walitanga nafasi ya Contact Centre Agents nikapiga nao aptitude test nika score above 50. till now kimya pasipo feedback yoyote karibia mwezi sasa ,hvi utaratobu wao ukojee? maana kitaa kinawka moto balaa Click to expand... Huwa wanachukua marks kuanzia 60+.
mfwende said: wakuu poleni na harakati. juzi hvi NMB walitanga nafasi ya Contact Centre Agents nikapiga nao aptitude test nika score above 50. till now kimya pasipo feedback yoyote karibia mwezi sasa ,hvi utaratobu wao ukojee? maana kitaa kinawka moto balaa Click to expand... Huwa wanachukua marks kuanzia 60+.
mfwende sawadogo JF-Expert Member Joined Aug 2, 2021 Posts 2,466 Reaction score 5,674 Dec 20, 2022 #63 kyagata said: Huwa wanachukua marks kuanzia 60+. Click to expand... pamoja mkuu naona na feedback hawajanipa
kyagata said: Huwa wanachukua marks kuanzia 60+. Click to expand... pamoja mkuu naona na feedback hawajanipa
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,966 Reaction score 26,183 Dec 20, 2022 #64 mfwende said: pamoja mkuu naona na feedback hawajanipa Click to expand... Watakupa tu
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,796 Reaction score 48,054 Jun 23, 2024 #65 Hivi Hawa jamaa intern zao wanalipa ?
K KimMinA JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 382 Reaction score 343 Jan 8, 2025 #66 Lukaku marata said: Mbona tushaanza kazi mkuu Click to expand... Hivi huchukua mda gani kuita maana sisi tuliofanya 2024 November mpaka sasa kimya
Lukaku marata said: Mbona tushaanza kazi mkuu Click to expand... Hivi huchukua mda gani kuita maana sisi tuliofanya 2024 November mpaka sasa kimya