Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

Wadau naleta kwenu Uzi
Mwenye kujua ni chance zipi,vigezo na mwisho wa kutuma maombi ni lini!! Maana hawa jamaa nao washaanza ujinga!! Hawatangazi kwenye magazeti!!!!
Wanazitoa kimya kimya!!

-------------------

Hizi ni tofauti invisible! Kuna za Western ambazo ni Bank officer/ Teller na kuna za Westen zonal ambazo ni teller pekee!!! Hizo nilizokutumia wadondoshee wanajamvi wajimwage uwanjani!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…