Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 938
- 1,819
Kwani Ukiwa na MBA ndo Ujiajiri una Akili ndogo sana aisee---------MBA yako imekusaidia nini???
https://www.jamiiforums.com/threads...za-ajira-zilitoka-lini.1216046/#post-20145052
Kwa kilio hiki??
Kwani Ukiwa na MBA ndo Ujiajiri una Akili ndogo sana aisee---------
Sasa we utaendelea kuwa Kilaza hadi Lini? Daaah Unanichewesha nasoma C4 hapa Nina Pepa mwezi wa tano za CPA we endelea kupiga kelele humu Labda kama unataka Kuolewa hapo baadaye.Kwa wenye akili kama zako ndio wanaona kawaida...
Sasa we utaendelea kuwa Kilaza hadi Lini? Daaah Unanichewesha nasoma C4 hapa Nina Pepa mwezi wa tano za CPA we endelea kupiga kelele humu Labda kama unataka Kuolewa hapo baadaye.
Kweli majinga sana hayoJinga kabisa
harafu bado watafuta kaziDada nimesoma UDSM-Nimepiga PGD ya Cooperative Management (Ushirika) na Nikapiga MBA-SUA
wenzako wanashindana pesa ww unashindania vyetiSasa we utaendelea kuwa Kilaza hadi Lini? Daaah Unanichewesha nasoma C4 hapa Nina Pepa mwezi wa tano za CPA we endelea kupiga kelele humu Labda kama unataka Kuolewa hapo baadaye.
nilikua naona apo awali wanalishana matango pori nikasema ngoja nikae kimya ..maana portal haitaki mbwembwesi kweli, ukitumia utumishi unaupload vyeti mara moja tuu, then unatumia vyeti hivo kuombea kila kazi, hakuna maana ya kuwa na portal kama utakua vyeti lazima viwe certified
Naona Umejiunga na Jamii Forums 2017 Probably Umemaliza Chuo 2016 Wanavyosema Certified copies za Certicate sidhani kama huwa wanatania wanaamini na inatakiwa Uscan Copies Kisha Ubebe Zikiwa na Original Ndo Upeleke Kwa Mwanasheria Mfano Mimi Nilimpelekea scanned ili acertify Mwanasheria akaniambia Nipeleke na Original Na Ndo Kazi yao inawaambia wafanye hivyo wavione Vyeti kwanza Ndo Muhuri wa True copy of original unagongwa.Ukiscan original huhitaji kucertify acheni ujinga, hizo general conditions zipo tu tangu miaka ya zamani huwa havibadiliki, tulia cheti original wait for being shortlisted
MBA za Makaratasi ya mbaoKwani Ukiwa na MBA ndo Ujiajiri una Akili ndogo sana aisee---------
si kweli, ukitumia utumishi unaupload vyeti mara moja tuu, then unatumia vyeti hivo kuombea kila kazi, hakuna maana ya kuwa na portal kama utakua vyeti lazima viwe certified
Hey mkuu,jinsi ya kuifanya profile yako isome 100% ? How?
Sababu unaweza ku fill kila kipengele na attachment zote but ukaishia 85% tu .What is the secret to make it 100% .
Thank you .