Nafasi za kazi NHIF

Aisee ngoja tuapply tu ila walichotufanya kipindi kile mmmh!
 
si kweli, ukitumia utumishi unaupload vyeti mara moja tuu, then unatumia vyeti hivo kuombea kila kazi, hakuna maana ya kuwa na portal kama utakua vyeti lazima viwe certified
Umeelezea vizuri mkuu
 
ni kweli haileti maana but sjui kwanini wameandika hvyo, kawaida hawasemagi kuhusu vyeti kuwa certified. thank u kwa ufafanuzi

HATA KWENYE POSTS ZA TPA WAMESEMA HIVYO PIA,WANANISHANGAZA SANA AISEEEEEE....WAKATI MM NIMESCAN VYETI ORIGINAL NDIYO NILIVYOATTACH KWENYE PORTAL.
 
si kweli, ukitumia utumishi unaupload vyeti mara moja tuu, then unatumia vyeti hivo kuombea kila kazi, hakuna maana ya kuwa na portal kama utakua vyeti lazima viwe certified

HATA KWENYE POSTS ZA TPA WAMESEMA HIVYO PIA,WANANISHANGAZA SANA AISEEEEEE....WAKATI MM NIMESCAN VYETI ORIGINAL NDIYO NILIVYOATTACH KWENYE PORTAL.
 
Mlivyokua Vilaza Mtapata kweli hizi Post Mbona Mimi Nime Certify nikatuma anyway ngoja Ushindani Upungue Mnalishana Ujinga tuu

View attachment 485805

wewe uliesema umesoma UDSM na sifa kibao kumbe unataka sifa..

Unajua maanaya utumishi kuanzisha hiyo portal?? kinachokuja kubadilisha hapo ni application letter tu,sasa wewe umecertify vyeti tarehe 25/3/2017 then kazi ingine ikatangazwa tarehe 5/6/2017 utaenda kucertify tena wakati kwenye portal unaweka vyeti mara moja..
 
Sawa mUDSM
 
Kumbe wewe ndo yule uliekua unalalamikia taasisi mpya ya jk! Lugha chafu zote,elimu yako yote bado unataka kuajiriwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…