Nafasi za kazi na mshahara wake

Nafasi za kazi na mshahara wake

Joined
Jul 30, 2014
Posts
46
Reaction score
2
Habarini ndg walendwa..
Kuna jambo linanitatiza kuhusu ajira za Tanzania, nashindwa kuelewa ni kwanini mashirika mengi hapa Tanzania yanapotangaza nafasi za ajiara hayaweki dhahiri/hadharani kiwango cha mshahara???.
Utakuta wanaandika tu qualification za muombaji nanduties atazojiusisha nazo, lakini wana fail kumuwekea applicant kiwango chake cha mshahara itakua shilingi ngapi!!!!... Ukiangalia mashirika ya wenzetu wanaweka job tittle na kiwango cha mahahara kwann sisi hatuweki au ili swala nyie kama watanzania mnalichukulije?
Naomba ufafanuzi yoyte anaeweza kuchanganua ili jambo.
 
Si mnaenda shule kusoma ili mpate kazi mtumikie vitengo. Mishahara mnalipwa ili msurvive mwendelee kufanya kazi. Ukikubali kuajiriwa kubali kuwa paid slave. So bosi wako ndye anakupangia mshahara sio wewe kupanga.
 
Elewa swali hata kama ni paid slave kwa nini hawaweki kiwango cha mshahara kama mashirika ya kimataifa?
 
wabongo wanaogopa mishahara yao kuwa wazi sababu wanahofia tutajua jeuri zao hazendani na salary...
"mshahara ni siri ya mwajiri na mwajiriwa" kauli mbiu yao...
 
Back
Top Bottom