Nafasi za kazi mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi mpya

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Jotae, Sep 24, 2012.

 1. J

  Jotae Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 22, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ASSISTANT WAREHOUSE OPERATORS
  Awe ana Degree ya Procurement, awe anajua computer (Microsoft Word, Excel, etc), awe anajua kuzungumza na kuandika kingereza,

  kama unavigezo tuma CV yako kwenda cv.oneshilling@gmail.com . wanawake watapewa kipaumbele zaidi. muda ni mchache tuma CV yako mapema
   
 2. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  ni kampuni ama nini?kazi inafanyika wapi,vema kuweka informatn za kutosha ili wenye uhtaji wajue wapi wameaply.BE GOOD MKUU!
   
 3. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  women empowerment ktk mkazo zaidi hapa..........
   
 4. J

  Jotae Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 22, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiyo kaka kwa hii position wanawake wanahusika sana kwa sababu kampuni inahitaji kuweka usawa. Kwahiyo kama unafahamu mdada mwenye hivyo vigezo muhamasishe tafadhari
   
 5. J

  Jotae Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 22, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KAMPUNI INAITWA SUNSHINE GROUP. NAFASI INAHITAJI MTU HARAKA. KWAHIYO KAMA UNAFAHAMU MTU MWENYEVIGEZO HIVYO NI VEMA UKAMWAMBIA ATUME CV YAKE KATIKA Email ILIYOTOLEWA. pamoja sana katika ujenzi wa taifa
   
 6. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa nini wanawake watapewa kipaumbele? Mnatafuta na wachumba humo humo?
   
 7. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,694
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mwenye maada kakomalia, awe awe awe.! Cant u go short?
   
Loading...