Nafasi za kazi Morogoro

NEW CDO

New Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
2
Reaction score
0
habari zenu wana memba wa jf,naomba kuuliza kwa anayejua;
mnamo mwanzon mwa mwez wa kwanz mwaka huu misheni ya mahenge-ifakara ilitoa nafasi za kazi,niliaply bt mpaka sas sjapata feedback yoyote so kwa anayejua chochote kuhusiana na hili anijulishe tafadhali,siku njema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…