Tusaidie walau summary ya kazi na sifa Mkuu...Leo sio rahisi kupata hilo gazetitembelea kwenye gazeti la mwananchi tar 17/5/13 kuna nafasi za kazi bungeni kwa wenye sifa. samahani sim yangu haiwezi kutuma attachment mwenye uwezo afanye hivyo kwa manufaa ya wana jamvi.
tembelea kwenye gazeti la mwananchi tar 17/5/13 kuna nafasi za kazi bungeni kwa wenye sifa. samahani sim yangu haiwezi kutuma attachment mwenye uwezo afanye hivyo kwa manufaa ya wana jamvi.
Huko nitaenda kurusha ngumi tu.
Kuna watu always wanaongeaga pumba, sitawavumilia kabisa.
...nikifikiria bosi wangu awe ndugai na makinda..??? au staff wa bunge hawako chini ya hawa jamaa...??tembelea kwenye gazeti la mwananchi tar 17/5/13 kuna nafasi za kazi bungeni kwa wenye sifa. samahani sim yangu haiwezi kutuma attachment mwenye uwezo afanye hivyo kwa manufaa ya wana jamvi.