mikagati JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 320 Reaction score 71 May 31, 2014 #1 Naomba kujuzwa kwa mwenye fununu, mana humu wengine baba zao ni watu wakubwa katika jeshi hilo hivyo huenda wakawa na nyepesi nyepesi
Naomba kujuzwa kwa mwenye fununu, mana humu wengine baba zao ni watu wakubwa katika jeshi hilo hivyo huenda wakawa na nyepesi nyepesi
K KAKA YAKO NAPITA JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 1,322 Reaction score 233 May 31, 2014 #2 zipo tayari chek kwenye website yao
mikagati JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 320 Reaction score 71 May 31, 2014 Thread starter #3 KAKA YAKO NAPITA said: zipo tayari chek kwenye website yao Click to expand... Nimecheki www.tanzaniaprison.go.tz sijaambulia kitu, nipe hiyo link tafadhari
KAKA YAKO NAPITA said: zipo tayari chek kwenye website yao Click to expand... Nimecheki www.tanzaniaprison.go.tz sijaambulia kitu, nipe hiyo link tafadhari
N NGASSIWA MTOTO Member Joined May 7, 2014 Posts 23 Reaction score 2 May 31, 2014 #4 mikagati said: nimecheki www.tanzaniaprison.go.tz sijaambulia kitu, nipe hiyo link tafadhari Click to expand... tupia hiyo link mdau
mikagati said: nimecheki www.tanzaniaprison.go.tz sijaambulia kitu, nipe hiyo link tafadhari Click to expand... tupia hiyo link mdau
K kibheri Senior Member Joined May 18, 2014 Posts 105 Reaction score 39 May 31, 2014 #5 Tutawatangazia.
mikagati JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 320 Reaction score 71 May 31, 2014 Thread starter #6 kibheri said: Tutawatangazia. Click to expand... Lini sasa?
K kibheri Senior Member Joined May 18, 2014 Posts 105 Reaction score 39 May 31, 2014 #7 mikagati said: Lini sasa? Click to expand... mwaka 2020.
D DOMA JF-Expert Member Joined Mar 17, 2011 Posts 944 Reaction score 367 May 31, 2014 #8 Magereza wamechukua intake ya jkt
mikagati JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 320 Reaction score 71 May 31, 2014 Thread starter #9 DOMA said: Magereza wamechukua intake ya jkt Click to expand... Duh, washanipiga chenga ya mwili
Ogo Senior Member Joined Aug 26, 2013 Posts 132 Reaction score 44 May 31, 2014 #10 Watapita na huku mtaani msijali vijana. Kila mwaka, huo ndio utaratibu kuchukua mtaani na vikosini.
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,932 Reaction score 11,851 Jun 1, 2014 #11 Tafuta kazini nyingine dogo ile kazi ni ngumu mno.
mikagati JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 320 Reaction score 71 Jun 1, 2014 Thread starter #12 Molembe said: Tafuta kazini nyingine dogo ile kazi ni ngumu mno. Click to expand... Ngumu kivipi?
Stevery2 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2012 Posts 396 Reaction score 47 Jun 1, 2014 #13 ngumu wap?kazi zote ngum.
Aadilu JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 645 Reaction score 464 Jun 1, 2014 #14 Molembe said: Tafuta kazini nyingine dogo ile kazi ni ngumu mno. Click to expand... Ugumu uko wapi? Hebu acha kumtisha mtoto!
Molembe said: Tafuta kazini nyingine dogo ile kazi ni ngumu mno. Click to expand... Ugumu uko wapi? Hebu acha kumtisha mtoto!
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,932 Reaction score 11,851 Jun 1, 2014 #15 Aadilu said: Ugumu uko wapi? Hebu acha kumtisha mtoto! Click to expand... Ulishawahi kuifanya???