Nina uzoefu wa miaka 3 kwenye sale and marketing.Una experience ya muda gani? Samahani lakini.
Wana udini upi mkuu? I mean uislam,ukristo,uhindu etc etcHao jamaa sitaki hata kuwasikia ni wababaishaji sana halafu wana udini kweli kweli, nilitoka mkoa kua attend interview wakanipigia simu niko kwenye gari wakaniambia wameahirisha week nzima, N.B kwa mtakaoitwa all the best, ila kwangu mm walinipotezea muda na nauli is the worst interview moment in my life time up to now.All the best brotherz an sisterz
Ahahahaaaa....umenichekesha mkuu...kuna kazi walitangaza experience 4yrs..wanataka masters,cpa...mimi nina experience hiyo ya 4yrs...lakn sina hizo masters wala cpa...nikaomba...wakanipigia_phone interview...then wakasema wanitumie assignment....walituma maswali tata balaa...nimefanya nawasikilizia.Experience doesn't matter.. ombeni tu.. afterall nyote mtakaopita mnaanzia uteller..