Nafasi za Kazi Maendeleo Bank

Shanyc

Senior Member
Sep 28, 2013
171
21
Tunaopenda kazi Bank, kazi kwetu
 
Attachments

  • maendeleo_Bank13.pdf
    508.8 KB · Views: 132
Jamani naombeni kujua hili tangazo lilitokea kwenye gazeti gani. Muhimu sana.
 
Hao jamaa sitaki hata kuwasikia ni wababaishaji sana halafu wana udini kweli kweli, nilitoka mkoa kua attend interview wakanipigia simu niko kwenye gari wakaniambia wameahirisha week nzima, N.B kwa mtakaoitwa all the best, ila kwangu mm walinipotezea muda na nauli is the worst interview moment in my life time up to now.All the best brotherz an sisterz
 
Wana udini upi mkuu? I mean uislam,ukristo,uhindu etc etc
 
Experience doesn't matter.. ombeni tu.. afterall nyote mtakaopita mnaanzia uteller..
 
Experience doesn't matter.. ombeni tu.. afterall nyote mtakaopita mnaanzia uteller..
Ahahahaaaa....umenichekesha mkuu...kuna kazi walitangaza experience 4yrs..wanataka masters,cpa...mimi nina experience hiyo ya 4yrs...lakn sina hizo masters wala cpa...nikaomba...wakanipigia_phone interview...then wakasema wanitumie assignment....walituma maswali tata balaa...nimefanya nawasikilizia.
Issue ni kuomba tu...hayo mengine watachuja wenyewe.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom