Nafasi za kazi kwenye saloon ya kiume

Nafasi za kazi kwenye saloon ya kiume

styl

Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
52
Reaction score
8
1. Kinyozi wa kiume:
sifa:
-Awe na uzoefu wa kunyoa.
-Awe msafi/ Mtanashati.
-Asiwe na jeuri mwenye kuthamini wateja.
-Kila siku hesabu ni 10,000/= + 5,000/= ya dada. Inayobakia ni yako yote.

2. Dada wa kusaidia kazi saloon (Kuosha kichwa, kuosha miguu, scrub, n.k)
sifa:
-Mrembo anayejitambua.
- Asiwe na kiburi,
-Awe msafi anayejipenda.
-Kila siku atalipwa 5,000/=

Mawasiliano: 0685654180
 
mrembo anayejitambua hatofanyia kazi hiyo elfu tano yako
assume.. atafanya kazi saa mbili hadi moja usiku...
MAKADIRIO YA MATUMIZI KWA SIKU
**nauli kuja na kurudi tufanye gari moja 400 ×2= 800
**chakula mchana 2000
**maji (siku nzima tufanye ya uhai ya 600 mawili) 1200
**kuvuta hewa ya saluni+nywele na vumbi la kusafisha..maziwa tanga fresh 1200
.........800+2000+1200+1200=5200 ..tena imezidi huo mshahara wako
hapo hata vocha hajaweka..hajanywa chai hajala usiku..hajapata hela ya kodi na other bills..hata kujikimu mavazi..hajaumwa...
NA UMEMBANA SIKU NZIMA.... acha kuchezea akili za watu wewe
 
.........800+2000+1200+1200=5200 ..tenaimezidi huo mshahara wako
hapo hata vocha hajaweka..hajanywa chai hajala usiku..hajapata hela ta kodi na other bills..hata kujikimu mavazi..hajaumwa...

Hahahaaaaaaa, makalukulasheni hahaaaa
 
Blaza asante sana, labda wanatafuta wale wa 'msingi kiuno'. Bora mtu akakope Pride afungue kisaluni chake mshenzi inalipa kuliko hii kazi kichaa?
 
kaka hata hao msingi kiuno wana sehemu zao za mawindo.. hair cutting salon wateja wengi wanaingia wakiwa straight headed (hawajalewa)..watampata nani. labda ingekuwa bar,night club au cassino...
MI NAMSHAURI ANGECHUKUA NDUGU YAKE WA KIKE MMOJA AKAMPA SHAVU.. ILI FAIDA ISIENDE MBALI NA FAMILIA
#no_hard_feelings
 
Sure, ili aone uchungu wa kumlipa mtu buku tano kwa siku.
 
Asanteni kwa ushauri wenu!! ningeomba wakati wa negotiation na muhusika azungumze hayo anayohitaji kufanyiwa nje ya hiyo 5000/=.
Saloon zingine wanafanya kila pesa ya SCRUB, kuosha miguuu na zingine; zote zinakuwa kwa dada wa kazi. ninamaanisha kwa siku akifanya scrub tatu ni 6000/= ukiongeza wa miguu mmoja tufanya 4,000/= hapo ataondoka na 10,000/=
kwa ufupi yote yanazungumzika. ndio sababu nimehitaji msichana mrembo kweli (Mzuri) coz hii ni biashara. suala la umbali isiwe kikwazo hata kidogo tutakaa na kupanga tufanye vipi nisikuumize wala wewe usiniumize.
 
somehow umerekebisha ila bado kidogo hujaweka mambo sawa mkuu.. inaama hizo extra activities like scrabing..masking.. AKIZIFANYA MPUNGA WOTE UNAKUWA WAKWAKE?? what is in for you!?..
.......
ziada kama utampata mwenye utayari humu... atleast ungesema EXACT LOCATION ya hiyo office.. pia kwa sisi wanaJF madume tuje kukuungisha
 
jamani acheni kusanif kazi na mishahara ya watu... anae weza atafanya aceweza anaacha ni hiari ya mtu so coni sanabu ya mjadala mrefuuu...
 
mrembo anayejitambua hatofanyia kazi hiyo elfu tano yako
assume.. atafanya kazi saa mbili hadi moja usiku...
MAKADIRIO YA MATUMIZI KWA SIKU
**nauli kuja na kurudi tufanye gari moja 400 ×2= 800
**chakula mchana 2000
**maji (siku nzima tufanye ya uhai ya 600 mawili) 1200
**kuvuta hewa ya saluni+nywele na vumbi la kusafisha..maziwa tanga fresh 1200
.........800+2000+1200+1200=5200 ..tena imezidi huo mshahara wako
hapo hata vocha hajaweka..hajanywa chai hajala usiku..hajapata hela ya kodi na other bills..hata kujikimu mavazi..hajaumwa...
NA UMEMBANA SIKU NZIMA.... acha kuchezea akili za watu wewe

ndug yangu wadada wa saloon wana tip zao kwa wateja hioo 5000 hamna kitu just kilinda ajira ila kwa siku anatoka na pesa ndefu kuliko pesa ya hesabu ya boss na kinyozii mimi nnakuambia hivi kwasababu nina uzoefu na nna saloon yangu ipo kijitonyama ila vinyoziii ndioo umiza kichwaa wanasumbua sana kwenye utendaji wa kazii wengi pombe na kudharau kazi ndioo upumbavu walobarikiwa ila wanapokuja kuomba kiti wapige kazii huwatarajiiii
 
Natafuta frame ya saloon....nataka nifungue saloon ya kisasa....vinyozi nisaidieni kutafuta frame ambayo ipo sehemu nzuri tufanye kazi
 
Mm nadhani watu hawajaelewa ila mm ninavyoelewa saloon zinavyokua ni kwamba huyo dada atafanya kazi hata akifanya ya 40,000 cjui ngapi jamaa anapewa 5000 inayobaki yake... hivyo hivyo kwa kinyozi... anyoe anyoavyo ila kwa siku atoe hesabu ya 10,000... nadhan ndio jamaa anavyomaanisha
 
Samahani mkuu,
ninaomba unisaidie maelekezo ya jinsi ya kuanzisha (gharama za vifaa) na kuendesha berbarshop,
me niko moro nataka nifungue yenye heshima maeneo ya kihonda maghorofani kama unapafaham.
ahsante nasubiri kusikia toka kwako.
 
Kijana usiwe unataja maeneo unayotarajia kufanya biashara,watu wanaweza wakakuwahi ukajikuta ufanyi chochote.Unapofungua saloon, vifaa utakavyonunua ikiwemo aina ya viti inategemea kwanza na uwezo wako kifedha na unataka iwe ya hadhi ipi.
Mashine za saruni zipo feki na original ,lakini walau standard si chini ya elfu 90,
Utahitaji Sterilizer kwa ajiri ya usafi wa mashine zako,madawa after shave ,scrub,mask na mengine mengi kama unataka kufanya hii business fanya research siwezi kusema kila kitu.
Niko kwenye hiyo industry muda kidogo na wengi nimeona wanamapungufu so baadhi ni siri yangu.
Viti vya salon pia vipo mpaka vya 1.2M kimoja inategemea na uwezo wako na unataka iwe ya hadhi ipi,lakini kama ni uswazi unaweza anza na vitu vya bei nafuu,na unatakiwa uje "your targeted customer " ni akina nani.
Uswazi hata ukiwapaka spirit hakuna shida ila mimi situmii spirit kwani kuna aftershave nzuri tu.Mtu analipa 2000 au 3000 kunyoa then unampaka spirit ala na unamfunga toilet paper shingoni badala ya lu..paper kwangu naona ni weakness.
Kuna vifaa vya kuoshea wateja kama ni la kukaa au kulala wewe mwenyewe.
Malipo wengi wanatoza kwa kiti ,sh ngapi kwa siku inategemea na office ilivyo na idadi ya wateja on average unaowahudumia kwa siku.
Mdada wa salon ni muhimu kwa ajiri ya kuosha na kuwahudumia wateja kwa mambo ya scrub,mast etc na si mengine ya ajabua ajabu kama wadada wa Bar,utapoteza wateja.
Kwa hiyo kama unataka kufanya hiyo biashara do your research,wafuate ambao wako wanafanya watakupa ushauri ila usiwe muwazi kuhusu ni wapi unataka kuiweka,hakyna mtu anayependa mshindani ktk business.
Keep your plan to yoursel until they materialise,do not trust everyone.Si wote wanataka ufanikiwe.
Salon madawa yanalipa kunyoa kunaweza lipa kama wateja ni wengi ila madawa yanasaidia sana.
Chamuhimu katika biashara yeyote ni "Location",usiweke ofisi sehemu kisa ni jirani na nyumbani kwenu.Location ya biashara ni muhimu sana,unaweza weka biashara sehemu ukawa unalipa pango la nyumba kubwa lakini ikakulipa.
 
Ahsante sana mkuu, nitafuata ushauri wako, shukran sana, me nataka iwe na hadhi kuanzia vifaa hadi wahudumu.
nitakua nakusumbua sana kwa ushauri, tafadhali usinichoke kiongozi.
 
Ok,kama unataka ya hadhi kwa Dar sehemu ninayoifahamu wanahusika na vifaa vya saloon ni Radium,wako hapo maeneo ya taa za fire ,ukiwa unaelekea posta ni mkono wa kulia ni nyuma ya yard ya magari.
Bei zao ziko juu ila vifaa ni quality,sikushauri ununue kila kitu hapo kwani kuna mashine wanazo unakuta bei ni kama laki na ishiri au zaidi ila ukitembea kariakoo unazipata kwa kama 95 au 90.So pia kuna jama huwa wanauza viti hapo hapo jirani na kwa Dr.Amir(maeneo ya fire) ni used ila unaweza pata viti vizuri.
Fanya "window shopping" kwanza kabla ya kuamua ununue wapi.
 
ok,kama unataka ya hadhi kwa dar sehemu ninayoifahamu wanahusika na vifaa vya saloon ni radium,wako hapo maeneo ya taa za fire ,ukiwa unaelekea posta ni mkono wa kulia ni nyuma ya yard ya magari.
Bei zao ziko juu ila vifaa ni quality,sikushauri ununue kila kitu hapo kwani kuna mashine wanazo unakuta bei ni kama laki na ishiri au zaidi ila ukitembea kariakoo unazipata kwa kama 95 au 90.so pia kuna jama huwa wanauza viti hapo hapo jirani na kwa dr.amir(maeneo ya fire) ni used ila unaweza pata viti vizuri.
Fanya "window shopping" kwanza kabla ya kuamua ununue wapi.

sawa kiongozi nimeielewa hiyo ramani,
ahsante sana
 
Back
Top Bottom